Hospitali ya Alexia iliandaa zoezi la ufanyaji tohara bure kwa watoto wa kiume siku ya Ijumaa, tarehe 15 Septemba 2023.
Hospitali ya Alexia iliandaa zoezi la ufanyaji tohara bure kwa watoto wa kiume siku ya Ijumaa, tarehe 15 Septemba 2023.
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kuwa sasa unaweza kurudishwa hadi mlangoni kwako BURE baada ya kupata huduma ya matibabu ya kulazwa. Usipate mawazo ya jinsi utafika nyumbani baada ya kuruhusiwa kuondoka wodini, tupo kwa ajili yako. Tunakupenda, tunakujali na tunakuthamini, karibu […]
Have you been looking for a chance to provide quality health care in order to build better communities? Then this is your opportunity, Alexia Hospital has 6 job openings that need passionate people like you. Here are the current job […]
Alexia Hospital, Neema ministries & Nasimama na binti walifanikisha ugawaji wa taulo za kike, vifaa vya michezo, neti na mashine za kupimia sukari kwa wahitaji zoezi lililofanyika kwa mafanikio.
Have you been looking for a chance to provide quality health care in order to build better communities? Then this is your opportunity, Alexia Hospital has 3 openings that need passionate people like you. Apply to any of posts by […]
Urembo wa meno (Dental gems) ni nini? Ni aina ya urembo unaowekwa kwenye meno kwaajili ya kupendezesha tabasamu lako. Faida za kuweka dental gems Je unaweza kukaa na dental gems kwa muda gani? Dental gems hukaa katika meno kwa muda […]
Utunzaji wa afya ya kinywa na meno ni nini? Ni hali ya kuhakikisha kinywa chako kinakua safi bila kuwa na uchafu wowote/mabaki ya chakula kwa wakati wote. Namna ya kutunza kinywa na meno kwa ujumla Ili kuweka kinywa katika hali […]
Katika kuboresha huduma zetu za wagonjwa wa ndani (inpatient services) hospitali ya Alexia imeleta wadi za VIP. Wadi hizi zimebuniwa ili kufanya wagonjwa wajisikie wapo nyumbani wakati wa matibabu. Wadi hizi zina huduma za ziada zifuatazo: Chumba cha mgonjwa mmoja […]
Hopitali ya Alexia Medical kupitia kitengo chake cha neonatal Intensive Care Unit (ICU) kinatoa huduma ya phototherapy inayosaidia kutibu homa ya nyongo ya manjano katika watoto wachanga “jaundice in newborn babies”
Ratiba ya madaktari bingwa katika hospitali ya Alexia