Hospitali ya Alexia Yatoa Msaada wa Bodaboda Kwa Vijana
By adminPublished On April 22, 2024
Katika jitihada za kuijenga jamii na kusaidia kukua shughuli za kiuchumi hospitali ya Alexia imetoa msaada wa pikipiki 10 kwa vijana ili ziweze kuwasaidia wajiendeleze kiuchumi.