Get to know what’s happening at Alexia
In commemoration of International children’s day and Alexia’s 1st anniversary since becoming a district hospital we are holding a hosting a free medical camp at our main campus in Toangoma. The first 20 parents to arrive to the camp will […]
Kama sehemu ya mchango wetu kwa jamii na katika kuidhimisha siku ya mtoto wa kike duniani, Alexia medical limited ilishirikiana na Victoria Foundation Tanzania kwa kutoa taulo za kike, ili kuhakikisha kuwa hakuna mtoto wa kike atakayekosa masomo kwenye siku zake. Taulo hizi zitawafikia mabinti wa kike waliopo Simiyu.
Hospitali ya Alexia ilianzishwa mwaka 2014 kama zahanati, mwaka 2016 ilipandishwa hadhi kuwa kituo cha afya na Aprili mwaka 2021 ikapandishwa hadhi kuwa hospitali ya ngazi ya wilaya.
Siku ya tarehe 28 Julai 2019, tutaadhimisha siku ya homa ya ini (hepatitis) duniani. Huduma zifuatazo zitatolewa bure kwa watu wote watakaofika hospitalini kwetu Kupima Homa ya Ini (Hepatitis) Uchunguzi wa Kinywa na Meno Upimaji wa Macho Upimaji wa UKIMWI […]