Hospitali ya Alexia ni sehemu ya jamii ya Toangoma na maeneo ya karibu, kama hospitali tunajali usalama wa wanachi na mali zao. Ili kuimarisha ulinzi na usalama wa wananchi wa Toangoma, uongozi wa Alexia umetoa msaada wa REFLECTORS kwa ulinzi shirikishi.
Tunaendelea kuwatia moyo na kushirikiana na ulinzi shirikishi katika kujenga jamii iliyo bora.