Hospitali ya Alexia katika kuhakikisha jamil nzima inayotuzunguka Inapata huduma bora za matibabu ya kiafya imekuja na mpango/kifurushi maalumu cha punguzo la bei hadi 50%) kwa ajili ya wanafunzi wote kuanzia darasa la awali mpaka sekondari chini ya miaka 18.
NB: Huduma za kumuona daktari bingwa mwanafunzi atalipia kwa bei ya kawaida na punguzo litakuwa kwenye dawa na vipimo
WASILIANA NASI 24/7
@alexiahospital
0655 842 339
0677 016818
info@alexiamedical.co.tz