Hospitali ya Alexia tunawaletea huduma ya kujifungua chini ya uangalizi wa daktari bingwa wa kina mama. Huduma hii inatolewa kwa njia zote za kujifungua, yaani njia ya kawaida na njia ya upasuaji.
Have you been looking for a chance to provide quality health care in order to build better communities? Then this is your opportunity, Alexia Hospital has 6 job openings that need passionate people like you. Here are the current job […]
Katika kuendeleza mahusiano tuliyo nayo na jamii na vijana kwa ujumla sasa tumekuja kivingine, ALEXIA SUPER CUP – TUKUTANE VIWANJANI. Tumetoa nafasi ya timu mbalimbali kushindana kwenye mpira wa miguu, hii yote ni katika kuimarisha afya, kutengeneza mahusiano na kukuza […]
Hospitali ya Alexia imeleta huduma ya VIP consultation inayomuwezesha mgonjwa kupata matibabu akiwa katika mazingira yale yale bila kusumbuka hadi atakapomaliza, huduma hizi zitatolewa kwa haraka (fast track) sambamba ya vinywaji baridi na viburudisho vingine (entertainment). Tumedhamiria kukupa kilicho bora, […]
Katika jitihada za kuijenga jamii na kusaidia kukua shughuli za kiuchumi hospitali ya Alexia imetoa msaada wa pikipiki 10 kwa vijana ili ziweze kuwasaidia wajiendeleze kiuchumi.
Hospitali ya Alexia katika kuhakikisha jamil nzima inayotuzunguka Inapata huduma bora za matibabu ya kiafya imekuja na mpango/kifurushi maalumu cha punguzo la bei kwa ajili ya wazee. Huduma Zinazopatikana NB: Huduma za kumuona daktari bingwa, mzee atalipia bei pungufu WASILIANA […]
Hospitali ya Alexia katika kuhakikisha jamil nzima inayotuzunguka Inapata huduma bora za matibabu ya kiafya imekuja na mpango/kifurushi maalumu cha punguzo la bei hadi 50%) kwa ajili ya wanafunzi wote kuanzia darasa la awali mpaka sekondari chini ya miaka 18. […]
Hospitali Alexia katika kuthamini mchango wa michezo kwa vijana na kushirikiana na Hatua Initiative wametoa msaada wa vifaa vya michezo. Michezo ni moja kati ya njia nzuri za kujenga afya na sisi kama hospitali kazi yetu kuu ni kuhakikisha jamii […]