Alexia Super Cup 2026: Shangwe na Matibabu Kwenye Alexia Super Cup, mpira ulikuwa nusu tu ya hadithi. Nusu nyingine ilikuwa afya. Kila mechi ilipochezwa, madaktari wa Hospitali ya Alexia walikuwa pembeni wakiwahudumia wananchi bila malipo. Hiyo ndiyo maana ya “Shangwe […]








