The hospital donated chairs, desks and computers to the Local Government Authority (LGA) office at Toangoma.
The hospital donated chairs, desks and computers to the Local Government Authority (LGA) office at Toangoma.
Watoto wa kike wengi wamekua wakikosa masomo kipindi wanapokua katika siku zao. Katika siku ya maadhimisho ya mtoto wa kike duniani mwezi Oktoba 2021, tulishirikiana na Victoria foundation kuchangia taulo za kike kwa watoto wa kike waliopo mashuleni kwani watoto […]
Jamii ya watu wengi wenye hali ya kipato cha chini wamekua wakipata changamoto ya kumudu gharama za matibabu. Katika kuliona hilo tumeona tuanzishe mfumo wa kadi maalumu (VOUCHER ZA MATIBABU) zinazo tumika katika vituo vyetu tu, ili kuwawezesha wao kutibiwa […]
Siku ya tarehe 31 Julai 2021, tulifanya uzinduzi wa hospitali yetu iliyopandishwa hadhi kutoka kuwa kituo cha afya na kuwa hospitali kamili katika wilaya ya Temeke. Hospitali ya Alexia ilianzishwa mwaka 2014 kama zahanati, mwaka 2016 ilipandishwa hadhi kuwa kituo […]
In a bid to enhance road safety Alexia is embarking on a project to buy reflector jackets for the boda boda riders around our area as part of our giving back to the community.
Siku ya tarehe 28 Julai 2019, tuliandaa kambi ya afya (medical camp) kwa ajili ya kuadhimisha siku ya homa ya ini (hepatitis) duniani. Baadhi ya huduma zilizotolewa ni pamoja na
Mwezi wa 4/2019 tulizamini ligi ya mpira wa miguu iliyodumu kwa miezi miwili, ilishindanisha timu 16 kutoka katika mitaa yote ya kata ya Toangoma. Zawadi zilizotolewa 1.Mshindi wa kwanza alipata Jezi Seti mbili, Mbuzi mmoja, na pesa kiasi cha laki […]