Huduma ya Kutibu Homa ya Nyongo ya Manjano kwa Kutumia Phototherapy
By adminPublished On March 2, 2023
Hopitali ya Alexia Medical kupitia kitengo chake cha neonatal Intensive Care Unit (ICU) kinatoa huduma ya phototherapy inayosaidia kutibu homa ya nyongo ya manjano katika watoto wachanga “jaundice in newborn babies”