Hospitali ya Alexia ni sehemu ya jamii ya Toangoma na maeneo ya karibu, kama hospitali tunajali usalama wa wanachi na mali zao. Ili kuimarisha ulinzi na usalama wa wananchi wa Toangoma, uongozi wa Alexia umetoa msaada wa REFLECTORS kwa ulinzi […]
Hospitali ya Alexia ni sehemu ya jamii ya Toangoma na maeneo ya karibu, kama hospitali tunajali usalama wa wanachi na mali zao. Ili kuimarisha ulinzi na usalama wa wananchi wa Toangoma, uongozi wa Alexia umetoa msaada wa REFLECTORS kwa ulinzi […]
Pamoja na kujali afya za wagonjwa wetu hospitali ya Alexia inajali usalama wa wafanyakazi wake. Kama hospitali tunafanya jitihada za kuhakikisha kuwa wafanyakazi wanakuwa na uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza wakati wa kazi. Katika kulizingatia hili wafanyakazi […]
Hospitali ya Alexia iliandaa zoezi la ufanyaji tohara bure kwa watoto wa kiume siku ya Ijumaa, tarehe 15 Septemba 2023.
Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kuwa sasa unaweza kurudishwa hadi mlangoni kwako BURE baada ya kupata huduma ya matibabu ya kulazwa. Usipate mawazo ya jinsi utafika nyumbani baada ya kuruhusiwa kuondoka wodini, tupo kwa ajili yako. Tunakupenda, tunakujali na tunakuthamini, karibu […]
Have you been looking for a chance to provide quality health care in order to build better communities? Then this is your opportunity, Alexia Hospital has 6 job openings that need passionate people like you. Here are the current job […]
Alexia Hospital, Neema ministries & Nasimama na binti walifanikisha ugawaji wa taulo za kike, vifaa vya michezo, neti na mashine za kupimia sukari kwa wahitaji zoezi lililofanyika kwa mafanikio.
Katika kuboresha huduma zetu za wagonjwa wa ndani (inpatient services) hospitali ya Alexia imeleta wadi za VIP. Wadi hizi zimebuniwa ili kufanya wagonjwa wajisikie wapo nyumbani wakati wa matibabu. Wadi hizi zina huduma za ziada zifuatazo: Chumba cha mgonjwa mmoja […]
Hopitali ya Alexia Medical kupitia kitengo chake cha neonatal Intensive Care Unit (ICU) kinatoa huduma ya phototherapy inayosaidia kutibu homa ya nyongo ya manjano katika watoto wachanga “jaundice in newborn babies”
Ratiba ya madaktari bingwa katika hospitali ya Alexia
We provide emergency transport in and out of Dar es salaam at affordable prices. Call us on +255 677 026 563 More information about our emergency department can be found on this page.