Kunapokuwa kumetokea mabadiliko yasiyo ya kawaida (mutation) kwenye chembe chembe hai zilizopo kwenye mlango wa shingo ya kizazi (Cervix) ndio huitwa saratani ya shingo ya kizazi. Shingo ya kizazi (cervix) ni kiungo cha mwilini mwa mwanamke kinachopatikana sehemu ya chini […]