Ni hali ya kuhakikisha kinywa chako kinakua safi bila kuwa na uchafu wowote/mabaki ya chakula kwa wakati wote.
Ili kuweka kinywa katika hali ya usafi muda wote inakupasa kufanya yafuatayo,
Zifuatazo ni faida zitokanazo na utunzaji mzuri wa afya yako ya kinywa na meno.
Harufu mbaya ya kinywa husababishwa na vitu mbalimbali kama vile kuoza kwa meno, fizi zilizoharibika na mabaki ya chakula kwa muda mrefu. Ili kuondoa harufu mbaya kinywani unapaswa: