Ni aina ya urembo unaowekwa kwenye meno kwaajili ya kupendezesha tabasamu lako.
Dental gems hukaa katika meno kwa muda wa miezi sita mpaka mwaka. Ni muhimu kwenda kwa daktari wa meno ili aweze kukuwekea urembo wa meno kwa kufuata taratibu za afya ya kinywa na meno na usalama wa afya yako kwa ujumla. Usijaribu kuweka urembo huu ukiwa nyumbani, ili kuepukana na changamoto mbalimbali, mfano, gundi ambazo sio salama zinazoweza kuwa sumu kwenye mwili wa binadamu.
Hospitali ya Alexia inatoa huduma ya kuweka urembo kwenye meno kwa gharama nafuu sana kuanzia 30,000 na kuendelea. Fika Alexia Hospital sasa ili kubadilisha muonekano wa tabasamu lako. Wasiliana nasi kupitia simu namba +255 655 842 339 au +255 736 842339