Hospitali ya Alexia katika kuhakikisha jamil nzima inayotuzunguka Inapata huduma bora za matibabu ya kiafya imekuja na mpango/kifurushi maalumu cha punguzo la bei kwa ajili ya wazee.
NB: Huduma za kumuona daktari bingwa, mzee atalipia bei pungufu
WASILIANA NASI 24/7
@alexiahospital
0655 842 339
0677 016818
info@alexiamedical.co.tz