Hospitali ya Alexia tunawaletea huduma ya kujifungua chini ya uangalizi wa daktari bingwa wa kina mama. Huduma hii inatolewa kwa njia zote za kujifungua, yaani njia ya kawaida na njia ya upasuaji.
Hospitali ya Alexia tunawaletea huduma ya kujifungua chini ya uangalizi wa daktari bingwa wa kina mama. Huduma hii inatolewa kwa njia zote za kujifungua, yaani njia ya kawaida na njia ya upasuaji.
Hospitali ya Alexia imeleta huduma ya VIP consultation inayomuwezesha mgonjwa kupata matibabu akiwa katika mazingira yale yale bila kusumbuka hadi atakapomaliza, huduma hizi zitatolewa kwa haraka (fast track) sambamba ya vinywaji baridi na viburudisho vingine (entertainment). Tumedhamiria kukupa kilicho bora, […]
Hospitali ya Alexia katika kuhakikisha jamil nzima inayotuzunguka Inapata huduma bora za matibabu ya kiafya imekuja na mpango/kifurushi maalumu cha punguzo la bei kwa ajili ya wazee. Huduma Zinazopatikana NB: Huduma za kumuona daktari bingwa, mzee atalipia bei pungufu WASILIANA […]
Hospitali ya Alexia katika kuhakikisha jamil nzima inayotuzunguka Inapata huduma bora za matibabu ya kiafya imekuja na mpango/kifurushi maalumu cha punguzo la bei hadi 50%) kwa ajili ya wanafunzi wote kuanzia darasa la awali mpaka sekondari chini ya miaka 18. […]
Hospitali ya Alexia iliandaa zoezi la ufanyaji tohara bure kwa watoto wa kiume siku ya Ijumaa, tarehe 15 Septemba 2023.
Katika kuboresha huduma zetu za wagonjwa wa ndani (inpatient services) hospitali ya Alexia imeleta wadi za VIP. Wadi hizi zimebuniwa ili kufanya wagonjwa wajisikie wapo nyumbani wakati wa matibabu. Wadi hizi zina huduma za ziada zifuatazo: Chumba cha mgonjwa mmoja […]
Hopitali ya Alexia Medical kupitia kitengo chake cha neonatal Intensive Care Unit (ICU) kinatoa huduma ya phototherapy inayosaidia kutibu homa ya nyongo ya manjano katika watoto wachanga “jaundice in newborn babies”