Katika kuboresha huduma zetu za wagonjwa wa ndani (inpatient services) hospitali ya Alexia imeleta wadi za VIP. Wadi hizi zimebuniwa ili kufanya wagonjwa wajisikie wapo nyumbani wakati wa matibabu. Wadi hizi zina huduma za ziada zifuatazo:
Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma zetu za wagonjwa wa ndani (inpatient services) soma hapa au piga simu namba +255 655 842 339