Katika harakati zetu za kuboresha ubora wa huduma zetu tumewaletea Alexia Premium Lounge. Hiki ni kitengo kinachotoa huduma za afya kwa ukaribu na wa kipekee kulingana na mahitaji binafsi ya mgonjwa.