Tunapenda kuwataarifu wateja wetu kuwa sasa unaweza kurudishwa hadi mlangoni kwako BURE baada ya kupata huduma ya matibabu ya kulazwa. Usipate mawazo ya jinsi utafika nyumbani baada ya kuruhusiwa kuondoka wodini, tupo kwa ajili yako.
Tunakupenda, tunakujali na tunakuthamini, karibu tukuhudumie