• Home
  • Medical Services
  • About
    • Overview
    • Letter From the CEO
    • Upcoming Events
    • Job Opportunities
  • Health Tips
  • News & Updates
    • News
    • CSR Activities
    • Events
  • Contacts
    • Locations & Directions
    • Patients & Visitors Guide
    • Useful Phone Numbers
    • Book an Appointment
  • Emergency: +255 786 842 339
  • COVID-19 Testing
  • COVID-19 Vaccination
  • COVID-19 Testing Appointment
  • COVID-19 Vaccination Appointment
  • Home
  • Medical Services
  • About
    • Overview
    • Letter From the CEO
    • Upcoming Events
    • Job Opportunities
  • Health Tips
  • News & Updates
    • News
    • CSR Activities
    • Events
  • Contacts
    • Locations & Directions
    • Patients & Visitors Guide
    • Useful Phone Numbers
    • Book an Appointment

  • Emergency: +255 786 842 339
  • COVID-19 Testing
  • COVID-19 Vaccination
  • COVID-19 Testing Appointment
  • COVID-19 Vaccination Appointment
  • Home
  • Medical Services
  • About
    • Overview
    • Letter From the CEO
    • Upcoming Events
    • Job Opportunities
  • Health Tips
  • News & Updates
    • News
    • CSR Activities
    • Events
  • Contacts
    • Locations & Directions
    • Patients & Visitors Guide
    • Useful Phone Numbers
    • Book an Appointment

Mwanafunzi wa Alexia: Punguzo la Bei za Huduma za Afya

By admin  Published On April 22, 2024

Hospitali ya Alexia katika kuhakikisha jamil nzima inayotuzunguka Inapata huduma bora za matibabu ya kiafya imekuja na mpango/kifurushi maalumu cha punguzo la bei hadi 50%) kwa ajili ya wanafunzi wote kuanzia darasa la awali mpaka sekondari chini ya miaka 18.

Huduma Zinazopatikana

  • Huduma ya kumuona daktari: kwa bel pungufu, bila kukaa foleni, ambapo hospitali imeandaa daktari maalumu atakayewaona wanafunzi kila siku (hii itawawezesha wanafunzi kupata huduma kwa haraka na kuwahi masomo yao).

NB: Huduma za kumuona daktari bingwa mwanafunzi atalipia kwa bei ya kawaida na punguzo litakuwa kwenye dawa na vipimo

  • Huduma za uchunguzi/ vipimo: Kwa bei pungufu, pia watapewa kipaumbele na kupewa majibu ya vipimo watakavyofanyiwa kwa haraka (isipokuwa kwa vipimo ambavyo kitaalamu vinachukuwa muda mrefu. Mfano X-ray, biochemistry)
  • Huduma ya dawa: kwa bei pungufu, bila kukaa foleni.
  • Huduma ya kulazwa: kwa bei pungufu, (isipokuwa kwa wodi za VIP)
  • Huduma za vidonda, upasuaji mdogo na mkubwa.
  • Huduma za uchunguzi kabla ya kuanza masomo (medical examination report)

WASILIANA NASI 24/7
@alexiahospital
0655 842 339
0677 016818
info@alexiamedical.co.tz


2023 End of Year Party [Photo Gallery]
Previous Article
Mzee wa Alexia: Punguzo la Bei za Huduma za Afya
Next Article

FOR PATIENTS

Health Tips
Patient & Visitor's Guide
Book an Appointment
Billing & Payments
Medical Specialists

ABOUT US

Overview of Our Work
Locations & Directions
News & Updates
Events
Job Opportunities

CONTACT US

+255 655 842 339
+255 736 842339
info@alexiamedical.co.tz
Member of
Accepted Payments
Accepted Insurance Providers
insurance – 2
insurance – 4
insurance – 7
insurance – 10
insurance – 8
insurance – 5
insurance – 9
insurance – 11
insurance – 6
insurance – 1
insurance
insurance – 3
uap-mutual
  • Privacy Policy
  • Terms of Use