Siku ya tarehe 28 Julai 2019, tutaadhimisha siku ya homa ya ini (hepatitis) duniani. Huduma zifuatazo zitatolewa bure kwa watu wote watakaofika hospitalini kwetu Kupima Homa ya Ini (Hepatitis)Uchunguzi wa Kinywa na MenoUpimaji wa MachoUpimaji wa UKIMWIUpimaji wa Shinikizo la juu la DamuZoezi la Uchangiaji Damu