Siku ya tarehe 28 Julai 2019, tutaadhimisha siku ya homa ya ini (hepatitis) duniani.
Huduma zifuatazo zitatolewa bure kwa watu wote watakaofika hospitalini kwetu