Tunajali afya ya mama na ya mwanae. Katika kuhakikisha hilo tumeboresha huduma zetu za uzazi zilizoboreshwa zaidi. Kifurushi cha kwanza inaitwa “Jifungue Kibingwa”. Huduma ya kujifungua ya kawaida huwa inakuwa na nesi (mkunga) lakini huduma hii inakusaidia kujifungua chini ya […]