Umuhimu wa Uchunguzi wa Saratani ya Mfuko wa Mayai (Ovarian Cancer) Saratani imekuwa moja wapo ya magonjwa yanayoua wanawake wengi, na saratani ya mfuko wa mayai inachangia pakubwa katika vifo hivyo, ikiwa ni moja ya saratani tano zinazoongoza kwa vifo […]