Kama sehemu ya mchango wetu kwa jamii na katika kuidhimisha siku ya mtoto wa kike duniani, Alexia Hospital itashirikiana na Victoria Foundation Tanzania kwa kutoa taulo za kike, ili kuhakikisha kuwa hakuna mtoto wa kike atakayekosa masomo kwenye siku zake.