Tunajali afya ya mama na ya mwanae. Katika kuhakikisha hilo tumeboresha huduma zetu za uzazi zilizoboreshwa zaidi.
Kifurushi cha kwanza inaitwa “Jifungue Kibingwa”. Huduma ya kujifungua ya kawaida huwa inakuwa na nesi (mkunga) lakini huduma hii inakusaidia kujifungua chini ya daktari bingwa.
Kifurushi cha pili, inaitwa “Premium Delivery”. Huduma hii inaambatanisha huduma za kujifungua pamoja na huduma za matibabu ya mtoto bure kuanzia mtoto anapozaliwa mpaka anapotimiza umri wa mwaka mmoja.
Huduma zinazoambatana na huduma za uzazi na kujifungua ni pamoja na
Karibu sana Alexia Hospitali – Afya Yako, Mtaji Wako!
Kwa taarifa zaidi kuhusu bei za huduma za uzazi na vifurushi husika piga +255 677 006 700








