Ratiba za Madaktari Alexia Hospital

Ratiba za Madaktari Alexia Hospital

Furaha yetu ni kuona Jamii yetu inakuwa na afya njema na inayopendeza, Alexia tunapenda kukujulisha ratiba zetu za madaktari

  • Daktari wa kina mama anapatikana jumapili saa tisa jioni hadi saa moja usiku.
  • Daktari wa watoto anapatikana siku ya jumapili saa tisa jioni hadi saa kumi na moja jioni.
  • Daktari wa meno anapatikana kila siku kuanzia saa mbili asubui hadi saa kumi jioni.
  • Daktari wa macho anapatikana siku ya jumapili kuanzia saa nne asubui hadi saa kumi jioni.
  • Daktari wa tiba mazoezi anapatikana kila siku ya jumanne na alhamisi kuanzia saa tisa jioni hadi saa kumi na mbili jioni na siku ya jumamosi anapatikana kuanzia saa tano asubui hadi saa kumi jioni.
  • Huduma ya ultrasound inapatikana kila siku kuanzia saa mbili asubui hadi saa kumi na moja jioni.
  • Huduma ya X-ray inapatikana kuanzia saa mbili asubui hadi saa kumi na moja jioni.
  • Huduma ya baba, mama na mtoto inapatikana kila siku kuanzia saa mbili asubui hadi saa kumi jioni.

Menu