News

Dr. Anzibert Rugakingira atakuwa Live 98.9 Kiss FM Kwa wiki nzima kuanzia Leo tarehe 31/10/2017 asubuhi Hii saa moja na robo kuzungumza juu ya "Ugumba kwa Wanaume" ungana nasi 98.9 Kiss FM au www.kissfm.co.tz Stay tuned.

Na Siku ya Jumamosi 4 NOVEMBA kutakuwa na mjumuisho WA Mada Hii kwa masaa mawili kuanzia saa moja na robo asubuhi. 98.9 Kiss FM www.kissfm.co.tz Stay tuned.

Alexia Health Center tutakuwa na daktari bingwa wa watoto kila jumamosi saa 3 asubuhi hadi saa 11 jioni na jumapili saa 3 asubuhi hadi saa 7 mchana.

Alexia Health Center is now rated 4 stars in BRN (Board Of Registered Nursing),  We are so proud of our team and all the effort they put on.

Menu